Selections za DEGREE kupitia NACTE

Selections za DEGREE kupitia NACTE

Wala Msihofu, Hawa Jamaa Huwa Wanachelewa Mda Mwngne Hadi Baadhi Ya Vyuo Vinafungua Wao Bado Ila Hujitahidi Kila Mwenyesifa Apate Chuo.
Cha Muhim Ujitahid Kuangalia Profile Yako Maana Wanaweza Kukupa Altenative Kama Ulipoomba Umekosa Nafasi.
 
mi profile yangu ktk capacity imeweka namba kama Mara ya kwanza imeremove 0.nn knaendelea.
 
Back
Top Bottom