analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 731
- 614
Habari zenu wakuu, nimeona kwenye website ya Law school of Tanzania kuwa wameshaselect wanafunzi kwa ajili ya intake za April na August 2017. Lakini nafikiri kutokana na heavy traffic muda huu kwenye website yao, imekuwa ni ngumu kuweza kuzipakua hizo documents. Naomba kwa yeyote aliyeweza kuzipakua basi aziweke hapa ili kuweza kufikiwa kirahisi na consumers wengi.