Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Naomben kwa wanao jua Kilimanjaro school of phermacy.
school fees yake ni shiling ngap kwa mwaka na cours hii ni miaka mingap .l ... ""basic technician of phermacy".......asanteni
 
jmn msaada kdgo mm nimeomba afya ila seletion ya kwnza ckupta so nasubiria ya pli ila kuna chuo nimeomba bila kupitia mfumo wa nacte ya nimeenda hpo chuon hswa na nimeambiwa nikafnye registration na iko chuo kimeshasajiliwa hakina shaka ila shda yng natka kujua hakutokua na mashaka yyte hpo baadae kutokana na mm ckuchaguliwa na nacte ila chuo iko nilipoomba nacho nimepelek maomb hvyo nijuilishen wna ntka kujua
 
yn nimeenda apo chuon nimeambiwa niende nikafnye
registration kwa ajil ya kuingia chuon rasmi ila kupitia mfumo wa nacte bd cjchaguliwa jee naweza kwenda na hakutokuua n shda yyte au bora nicubir majib msaada plz
 
Wakuu naombeni kuuliza mtu aliyesoma science and laboratory technology anaweza kusoma course gani ya afya
 
NAOMBA KUULIZA WAKUU,
Mwanafunzi aliye hitimu kitato cha nne anaweza kujiumga na jeshi la taifa yaani awe Mwanajeshi,
Mbali na Jeshi la polisi (Askari)

Kwani Kuna utata kwamba kujiunga huitaji wahitimu wa kifato cha tano pekee...

Naombe msaada wapendwa kwa hili
 
Back
Top Bottom