jerryThebos
New Member
- Jul 2, 2016
- 4
- 1
ujue kiongozi tatiz sio kusubil tatuz hawatki kutuambi nn kinaendelea kam wamesogza mda au laaah!!tusiwe na wasiwasi ndugu hii nkwasababu ya huu usawa wasasahv kila kitu kinatakiwa kiwekwe kwa umakin ndio maana wanachelewa ila muda utafika wataweka ubaoni tuuu
kwa sisi wenye uzoefu na application hili tatizo ni mwaka huu tu.maana miaka ya nyuma profile zilikuwa zinafunguka hadi wanatoa selection.Ndugu wana jf hivi hili tatizo La profile binafsi kutofunguka baada ya nacte kufunga application ni kila mwaka au ni huu mwaka tu msaada please
NACTE wanatesa wazazi, sasa wazazi watapata wapi muda wa kuandaa mahitaji, ada ya watoto etc. Tunapata picha gani, mlizoea kulipua sasa mmebanwa hamna pa kuanzia, you have to devise a new system altogether to be able to process the application without favor or fear! NACTE hamfai, hamfai, hamfai!Ivi wale walofanya application nacte vipi kunafunguka naona time inazidi songa
Subiri sikukuu iisheNACTE wanatesa wazazi, sasa wazazi watapata wapi muda wa kuandaa mahitaji, ada ya watoto etc. Tunapata picha gani, mlizoea kulipua sasa mmebanwa hamna pa kuanzia, you have to devise a new system altogether to be able to process the application without favor or fear! NACTE hamfai, hamfai, hamfai!
Jaman nauliza mbna nacte hawatoi majina wakati wiki nne zimepita,au kuna post yoyote wametoa kuexplain hilo