Yajayo_yanafurahisha
Senior Member
- Jul 29, 2020
- 166
- 440
Ila maisha muda mwingine unapanga hili na Mungu anapanga...nilitamani engineering nikapata Div3 - 2010, nikaambulia computer science ifm na sasa nipo kwenye taasisi kubwa tu na maisha yanaendelea šMwaka huu Hadi teku itachukua one!
Wenye two wengi hampati vyuo
Mtoa Mada
Omba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako hiko ndo cha msingi