Selection za form five 2021 zimetoka?

Sep 15, 2018
41
24
Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
 
jamani naombeni msaada nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. nilikua naomba msaada wa linki itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. msaada wenu please
Post sio suala la siri kwamba zikitoka zisiwekwe mtandaoni


Post bado hazijatoka

Subili mwezi wa6
 
Hii kitu imekaa sana ukichukulia matokeo ya form four safari hii yaliwahi sana kutoka.
 
wengine walioenda private schools wanachapa kitabu siku nyingi..pre form five
 
Back
Top Bottom