MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,124
Admission ni baada ya ku confirm chaguo lako maana kuna watu wameomba zaidi ya chuo kimojaTCU ni admission sio allocation za mkopo.
Admission ni baada ya ku confirm chaguo lako maana kuna watu wameomba zaidi ya chuo kimojaTCU ni admission sio allocation za mkopo.
Kimoja tayari nimepata matokeo, bado Sita na vyote ni vya SerikaliDuh vyuo zaid ya vitano??
ok ila week ijayo hapana.
Soma uzi wako kuanzia posti namba moja mpaka uzi huu ulipofikia utapata majibuKipi hicho walichotangaza ??
Sawa nduguWewe subiri wiki ijayo acha ubishi