Wiki ijayoHabari!
Napenda kuuliza ni muda gani huchukua hadi kutangazwa kwa waliochaguliwa kujiunga katika vyuo na course mbalimbali pia kujua allocation za mkopo kwa wanufaika?
Asante na karibuni
Wiki ijayo itakuwa ngumu kwani vyuo vingi mwisho wa application ni tar 15/8Wiki ijayo
Probably huwa mwshoni mwa mwezi wa Tisa au mwez wa kumi mwanzoni. Mi niliapply mwaka Jana, walichelewa sana kutoa matokeo hayoNi kweli aiseee nimekumbuka.kwani huwa inachukua interval gani ya muda from the deadline??
Asante,pia napenda kujua itakua tarehe ngapi?
Wewe subiri wiki ijayo acha ubishiWiki ijayo itakuwa ngumu kwani vyuo vingi mwisho wa application ni tar 15/8
ukishapangiwa chuo ....mkopo hufuataOK na za loan board je, maana mkopo ndo kila kitu kwenye elimu ya mlala hoi.
Hapoa nimeuliza vitu viwili sasa hiyo week ijayo ni nini kitatangazwa??