Makini
Senior Member
- Dec 23, 2014
- 154
- 59
Baada ya kuona mada nyingi zikiulizia joining instructions, taarifa za vyuo na kozi na kupotelea hewani, nikaona si mbaya kuwa na moja inayokusanya taarifa na zilizo muhimu kuzijua, nami nitajitahidi kuzipandisha juu ili iwe rahisi kwa kila mmoja kuziona kwa urahisi.
Pamoja tunaweza kushirikishana taarifa ulizonazo kuhusu chuo husika hasa wanaosoma au waliomaliza, pamoja na wale waliozijua mapema bila kusahau aliyefanikiwa kupata fomu mapema.
Pamoja tunaweza kushirikishana taarifa ulizonazo kuhusu chuo husika hasa wanaosoma au waliomaliza, pamoja na wale waliozijua mapema bila kusahau aliyefanikiwa kupata fomu mapema.
Jaman anaejua chochote kuhusu chuo kikuu cha saut MWANZA rafiki yangu amechaguliwa hapo anahitaji kujua zaidi kuhusu hicho chuo k.v hostels,mazingira, nk
Anaye fahamu chuo cha Marian kilichopo Bagamoyo anisaidie wakuu mazingira yake na utoaji wa elimu kwa ujumla pamoja na sheria za chuo bila kusahau hostel kama zipo kwa first year.