xana mkuu vp umo?? Afu cha sua nitakuwa nacho kesho au kesho kutwa
dah mwanangu sipo,,,labda hiyo ya sua mana nlijaza kama ma 2nd choice...dah niwepo tu maana....xana mkuu vp umo?? Afu cha sua nitakuwa nacho kesho au kesho kutwa
dah mwanangu sipo,,,labda hiyo ya sua mana nlijaza kama ma 2nd choice...dah niwepo tu maana....
Niadje niadje....! If pocbo m1 anchekie ABDULI M KISAKA
Naomba mwenye uwezo PASTE majina ya BC OF SCIENCE ENG IN GEOLOGY.Kimsingi kila ninapo download hii link ina corrupt .Ukipenda nitumie kwa mail evoddy@yahoo.com.
Please Tusaidiane wana jf
Nimetry kukutumia .pdf, ukipata useme mkuu
Upo mkuu, UDD02!! The end
nina n73 na kitu kinasoma bila ubishi
mkuu saluuuuuuuttt!!! ngoja tungoje tena na sua..na kama hapo tena nsipo apper nijpange zangu st joseph au ardhi....dahhhhh fanya makeke man!!!!!na bado cha sua kiko njiani
at last kitu kimesoma..salute ze duduz