Selection upload TCU

Jamani,kama kuna anae weza kuyaweka haya majina ili hata sie tunaotumia simu tuweze kuyaona vizuri atusaidie kuyaweka vzr.
 
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru Ze duduz kwa kuweza kui2liza presha yangu kwa kuweka hiyo link ambayo na mimi jina langu limepatikana..
So this means im headin Udsm..
Destiny here i come

much respect to u ze duduz n i hop u'l find ur name in Bvm list of sua..Over
 
Back
Top Bottom