ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
xhukran,
haya mwambie akasome kuna disco huku oohooo
xhukran,
hayupo huyo mwanabenja mwenzangu
unataka nin na wew..upakuliwe hyo link au
ha! kumbe we ndg yangu. we wa mwaka gan ndg.
S0921/0141/2011 msaada kwa hii
nilipita hapo form 4,,mwaka 2009...
uko wapi sasa hivi
Na mimi mnisaidie!
andika namba yako ya form 4 usaidiwe
nipo ud hapo civil eng..mwaka wa tatu
mkubwa nisaidie kunichekia S1858/0093/2011
poa kaka na c 2nakuja, sema electrical, ila kuna wadau wa benja wa civil
toa jina..au namba yake ya form 4 mkuu
msijali karibuni sana..ingawa tuko wachache sana kule CoET wanafunzi wa benja ila nimewaona nyiny wadogo zangu,,nmefarijika sana
na huyu tafadhali
s0110/0070/2011
mohamed mlewa,,Bsc electrical eng
na huyu tafadhali
s0110/0070/2011
mlewa mohamed BSc. Elec. Eng. halaf hii ilishaangaliwa. mnakua wasumbuf kwakua ni bure qubabaq zenu