"selection kidato cha tano 2011"....!!!!!???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"selection kidato cha tano 2011"....!!!!!????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jilanga, Mar 10, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inasemekana selections za wanafunzi wanaotaraji kujiunga kidato cha tano April mwaka huu zitatoka siku chache zijazo! Ikumbukwe kwamba ni 12% tu! Ndo wenye sifa ya kuendelea na kidato cha tano {5} wakati huo 88% hawana vigezo vya kuendelea na kidato cha tano! Pamoja na idadi ndogo sana ya waliofaulu, Je kuna shule hazitapata wanafunzi wa kujoin kidato cha tano? Ikiwa shule tulizo nazo zinatosheleza hiyo idadi ndogo! Je wangefaulu 50% wangepelekwa wapi? Tulijenga shule za O'level kila KATA pasipo kuongeza A'level! Je hii piramidal shape ina Logic gan kwa Watanzania? Je nikisema Matokeo yako Kisiasa zaidi ntakosea? MUNGU IBARIKI TANZANIA! {DA REAL PATRIOT}
   
 2. J

  John Mathias Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee umeongea kitu cha maana sana
   
Loading...