Kama Unasubiri wewe unasubiri selections za undergraduate 2017/2018 nimekusogezea hii!

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Hayatoki leo:::post hii ina lengo la kuwajulisha wale wote waosubiri selection za vyuo vikuu kuwa tayari TCU wamesha hakiki na kuthibitisha majina ya waliochaguliwa(Selected applicants) na mpaka kufikia tarehe 30/09/2017 tayari TCU ilikuwa imeishazi-feedback HLI(s) na zoezi linalosubiriwa ni HIL(s) ku-announce wale confirmed selected applicants lakini vyuo vyote vilipewa taarifa zilizochelewa na TCU siku ya tarehe 30/09/2017 kuwa chuo kinaruhusiwa kutangaza majina mara tu baada ya kuandaa online dashboad ambayo waombaji waliochaguliwa vyuo zaidi ya 1 wanaweza ku-confirm chuo husika
Kwa hiyo wakuu kuweni na uvumilivu maana kosa si la vyuo ila vyuo vimechelewa kupata taarifa hizo za ku-creat online dashboard na kama ujuavyo haya mambo ya mtandao yanahitaji muda ila yaweze kuwa na ufanisi.
Mchana nimetoa taarifa kwa ufupi kwamba hayatoki watu wakatukana anyway njoo utukane tena ila ukweli utabaki palepale na usitarajie leo hata kesho...
 
post na mtoa post wanafanana... Member wanaongoza kufikiri kidogo... Huo upuuzi ndo unaanzisha uzi swaini.. Kbs
 
Hayatoki leo
ba38d3bb91ffdcb293b7acd3ee966ef5.jpg
 
post na mtoa post wanafanana... Member wanaongoza kufikiri kidogo... Huo upuuzi ndo unaanzisha uzi swaini.. Kbs
sure Mkuu hawa member wasumbufu kweli, sijui akipata Senior member atakuwaje
 
post na mtoa post wanafanana... Member wanaongoza kufikiri kidogo... Huo upuuzi ndo unaanzisha uzi swaini.. Kbs
Shukuran mkuu! Ila ujumbe umefika na ni sahihi kwamba selection hazitolewi leo kulingana na chanzo cha ndani cha habari kutoka TCU
 
Back
Top Bottom