Kitendawili hiki Mbeya university of science and technology (MUST)

mr wilehard

Member
Jun 29, 2015
49
23
783ff7542fb3ccac5a771bdaae85dba0.jpg

Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private sponsored students hayajatolewa huku website ya chuo ikiwa haifunguki kwa takeibani siku tano sasa.
836246f097f2e409da7c806712d10ea0.jpg


Taarifa iliyotolewa kwenye majina ya waliofanikisha maombi ilisema majina ya waliochaguliwa yatatoka mapema mwezi wa tisa.
84b7589609b4e02e161ac9505b8a8511.jpg


waombaji wanomba kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu yanayoendelea MUST awajulishe.
 
Dah yaani juzi juzi tu niliuliza kuhusu hii kitu,bado sijapata jibu kabisa.na kuna jamaa yangu kule ananisaidia kufuatilia amesema wale wa government sponsored washafika chuo na wameanza kusajiliwa ila wote kiujumla ni wachache,hivyo naona ni bora ukapiga tu simu maana hii ya kusubiri website naona inachosha ila Mimi huku website inafunguka vizuri tu.yaani ni majanga tu bro
 
Back
Top Bottom