Sekta zinazochangia kodi kubwa TRA

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,707
Nafanya kazi katika kampuni fulani hapa nchi mwajiri wetu anasema anashindwa kutuongezea mishahara kwa kuwa serikali inamtoza kodi kubwa sana kuliko sekta nyingine kitu ambacho sikubaliani
Ninachojua mimi sekta ya mawasiliano ndio inayoongoza kwa kutozwa kodi,kuna anayejua tofauti?
Hivi ni sekta zipi
 
1.NMB
2.TBL
3.TPA
4.CRDB
5.TCC
6.STANDARD CHARTERED BANK
7.TIGO
8.CITI BANK
9.EXIM
10.VODA
NB:Zaman kipind cha wazr Mkullo serikali ilikuwa inatoa taarifa za walipa kodi wakubwa wa mwk wa fedha ilioishia,ila inasemekana kutokana na siasa za siasa na ili kulinda heshima ya wakwepa kodi wakubwa km migodi ya dhahab na makampun ya sim (asa VODA ) serikali ilikausha kutoa taarifa hz mpk Leo hii...husiniulize mi nimetoa wapi ila ndo hvyo ilivyo
 
Mimi ninachofahamu ni kulipa kodi kwa mujibu wa sheria, sasa kwako wewe inaweza kuwa inapunguza faida yako, mfano kuna walipa kodi wakuu kwa maana ya kuwa wana biashara kubwa kwa hiyo wanapata faida kubwa na wanatoa kodi zaidi kutokana na mapato yao hayo makubwa
 
Back
Top Bottom