Unatetea mini sasa hiyo ivi huoni kana unaandika kitu kiko juu ya uwezo wako wakufikiriUnapopinga kitu inabidi uje na wazo mbadala ili kuweza kutatua tatizo hili ambalo lina athari kubwa katika sekta ya elimu, wanafunzi wanafeli sio kwa sababu hawana akili la hasha ni kutokana na kukosekana kwa walimu, binafsi yangu naona hili ni wazo zuri
Hata ulichokiandika hata wewe mwenyewe hujakielewa, tatizo umekurupuka kutoa maoni bila kuelewa ni nini mtoa mada anakimaanisha, mkuu uwe unajaribu kushirikisha mawazo yako na wenzio maana wewe mwenyewe unaonekana bado sanaUnatetea mini sasa hiyo ivi huoni kana unaandika kitu kiko juu ya uwezo wako wakufikiri
We mwnywe nakujua na hujui lolote kuhsu mambo ya ualim mambo hayo tuachie ccHata ulichokiandika hata wewe mwenyewe hujakielewa, tatizo umekurupuka kutoa maoni bila kuelewa ni nini mtoa mada anakimaanisha, mkuu uwe unajaribu kushirikisha mawazo yako na wenzio maana wewe mwenyewe unaonekana bado sana
bado mingine mitatu mkuu...si unajua tena sera za mkuluwaalimu wamesugua benchi miaka miwili, hilo litawezekana?
unaonekana kama ni mtu uliyemaliza chuo kikuu na umekosa kazi ktk fani uliyosomea, na sasa unautamani ualimu ili chochote kiingie tumboni. kama unautaka ualimu, basi rudi chuo ukasomee ualimu. au wahi tamisemi. mheshimiwa muongo, maarufu kama Suleimani jafo, kwa kushirikiana na muongo mbobezi, maarufu kama Joseph Simbachawene, wana programu kwa waliosomea sayansi chuo kikuu na wakakosa kazi. waliahidi watawakusanya kwa mafungu, kisha wawapeleke kozi fupi majazwe madini kidogo ya ualimu, ili muwe angalau walimu wa tempo. kisha mtatakiwa kwenda kusomea ualimu full ili kulinda ugali wenu.Kutokana na uhaba wa walimu uliokithiri katika maeneo mengi nchini kwetu haswa walimu wa hisabati na sayansi, nilikuwa naliomba bunge tukufu lije na sheria itayowafanya wahitimu wote wa vyuo bila kujali fani walizosomea kuripoti katika shule za serikali na kufundisha kwa miaka mitatu ili waweze kupata vibali vya kufanya kazi katika sekta walizosomea,hii italeta tija sana katika sekta ya elimu na kuleta matokeo chanya zaidi
wewe kijana hujui swala la faru john, ndege, na njaa vilipigwa marufuku? endelea kuleta uchochezi!kupanga ni kuchagua kuna walimu waliyohitimu wapo mitaani zaidi ya elfu hamsini wanasubiri ajira.labda tusubir ile ndege ya kubeba zaidi ya watu 270 kutoka china na marekani labda litakuja na walimu hasa wa mathematics na fizikia
we hujawahi kufundishwa na walimu wazungu?? kuna wakati tulikuwa na walimu wakujitolea wanajiita volunteers wakati nipo moro sec tuliwahi kuwa naye akifundisha mathematics...wewe kijana hujui swala la faru john, ndege, na njaa vilipigwa marufuku? endelea kuleta uchochezi!
Huo uhaba umeutoa wapi wakati serikali haija ajiri kuwa walimu wapoUnapopinga kitu inabidi uje na wazo mbadala ili kuweza kutatua tatizo hili ambalo lina athari kubwa katika sekta ya elimu, wanafunzi wanafeli sio kwa sababu hawana akili la hasha ni kutokana na kukosekana kwa walimu, binafsi yangu naona hili ni wazo zuri
Hayo ni mawazo yako siwezi kuyapinga na kumbuka tuko hapa kutoa mawazo chanya kwa manufaa ya taifa, watu tuna professional zetu lakini still tunaumia na mzgo mlionao walimu tunasuggest mbinu za kuboresha elimu wewe unaona kama wote tunautaka ualimu wewe, think twiceunaonekana kama ni mtu uliyemaliza chuo kikuu na umekosa kazi ktk fani uliyosomea, na sasa unautamani ualimu ili chochote kiingie tumboni. kama unautaka ualimu, basi rudi chuo ukasomee ualimu. au wahi tamisemi. mheshimiwa muongo, maarufu kama Suleimani jafo, kwa kushirikiana na muongo mbobezi, maarufu kama Joseph Simbachawene, wana programu kwa waliosomea sayansi chuo kikuu na wakakosa kazi. waliahidi watawakusanya kwa mafungu, kisha wawapeleke kozi fupi majazwe madini kidogo ya ualimu, ili muwe angalau walimu wa tempo. kisha mtatakiwa kwenda kusomea ualimu full ili kulinda ugali wenu.
Naamini ilo swali majibu yake unafahamu yanakopatikana, mimi nilichokifanya ni kutoa mawazo ya kusaidia sekta ya elimuUna uwezo wa kuwaajiri?
pole sana kijana. ila huwezi kukabiziwa ofisi ya serikali kama muhasibu, wakati hujasomea uhasibu. labda upitie njia za panya, maarufu kama mtoto wa njomba.Hayo ni mawazo yako siwezi kuyapinga na kumbuka tuko hapa kutoa mawazo chanya kwa manufaa ya taifa, watu tuna professional zetu lakini still tunaumia na mzgo mlionao walimu tunasuggest mbinu za kuboresha elimu wewe unaona kama wote tunautaka ualimu wewe, think twice