donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
unauona huo mkubwa? kweli chips yai imeangamiza vijanaHuu ni msosi wa mtu mmoja????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ni msosi wa mtu mmoja????
Uko mkoa gani mkuuunauona huo mkubwa? kweli chips yai imeangamiza vijana
Mkuu huo msosi ukiumaliza mbona hautaweza kusimama??? Tutaifikia Tz ya viwanda kwa ulaji huu???unauona huo mkubwa? kweli chips yai imeangamiza vijana
mkoa unashabihiana na swala la kula?Uko mkoa gani mkuu
tutaifikia kwasbb viwanda vya chakula vitakua vingi na vitasitawi kwa uzalishaji chakula kingiMkuu huo msosi ukiumaliza mbona hautaweza kusimama??? Tutaifikia Tz ya viwanda kwa ulaji huu???
😀😀😀😀😀tutaifikia kwasbb viwanda vya chakula vitakua vingi na vitasitawi kwa uzalishaji chakula kingi
Mbona mdogo mkuu... Naenda kuzidi huo mkuu (real)Huu ni msosi wa mtu mmoja????
Huyu mwenzetu anakula mboga na ugali si ugali na mboga.Kwet hizo mboga kila moja na siki yake,sasa wewe mwenzet unakula zote siku moja. Daaahh!! Kwel maisha hayako fair
hahahahahahaha!!!!Huyu mwenzetu anakula mboga na ugali si ugali na mboga.
Dona hiviView attachment 757276
Starter ni ipi, main ipi na desert ipi ili nikupe like nyingi tu>Dona hiviView attachment 757276
Starter ni ipi, main ipi na desert ipi ili nikupe like nyingi tu>
Msosi wa kawaida sema una viambatisho kibao na ndio inavyotakiwaHuu ni msosi wa mtu mmoja????