Hizi ofisi nyingi zina matatizo makubwa mfano Serikali ilipoamua ku-centralize suala la ajira ilikuwa na nia nzuri tu ya kupunguza nguvu ya maafisa utumishi katika taasis mbalimbali za serikali kuajiri watu kwa kujuana ila wakasahau kuwa watakaokuwa katika sekretarieti ya ajira nao ni watu kwa hio tatizo liko palepale ila kwa upande mwingine dhana ya utawala bora hakuna sababu central govn inafanya kila kitu, inabidi tubadilike ila kwa uongozi uliopo i doubt