Sekretariat ya ajira na taesa zifutwe

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
wana JF kuna hizi ofisi mbili zinazohusika na utaftiaji wa kwa watu wasiokuwa na ajira lakini mpaka sasa zimeprove failure ila wanapokea mishahara minono, je kuna haja ya hizi ofisi kuwepo?
 

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
hata Richmon iliboreshwa ikawa Dowans ikawa Symbion Power na hatimaye ikawa giza na haya maboresho yote yame&yana&yata tugarimu!
 

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
34
hizi ofisi zinazidisha tatizo la ukosefu wa ajira kwakweli.. Wangeziondoa tu aisee
 

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
Hizi ofisi nyingi zina matatizo makubwa mfano Serikali ilipoamua ku-centralize suala la ajira ilikuwa na nia nzuri tu ya kupunguza nguvu ya maafisa utumishi katika taasis mbalimbali za serikali kuajiri watu kwa kujuana ila wakasahau kuwa watakaokuwa katika sekretarieti ya ajira nao ni watu kwa hio tatizo liko palepale ila kwa upande mwingine dhana ya utawala bora hakuna sababu central govn inafanya kila kitu, inabidi tubadilike ila kwa uongozi uliopo i doubt
 

Terimu

Member
Jun 1, 2011
36
36
Kufuta sio suluhu sababu wewe utaongea hivyo ila kuna wengine ambao tayari wameshasaidiwa na taasisi hizo watakushangaa. cha msingi ni kuboresha tu na wadau kuwa wawazi kutoa maoni yao pale wanapoona kuna mambo ambayo hawajaridhika nayo.
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
840
niliongea na mfanyakazi wa Taesa akasema Sekretariat ya Ajira zaidi ya nusu ya inayowapitisha ni vimemo vya wakubwa

ifanyike review Taesa imesaidia wangapi? wapo wapo tuu
 

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
440
TaESA ni 0 kabisaaaa!!!!!!
Sekretarieti ya Ajira haina zaidi ya miaka miwili tangu ianzishwe lkn naona imeanza kutia kichefuchefu na kupoteza mvuto. Hainabudi kujirekebisha fasta.
 

mankipe

Member
Mar 7, 2011
96
12
hizi ofisi zinazidisha tatizo la ukosefu wa ajira kwakweli.. Wangeziondoa tu aisee

sasa tatizo litapungua au litazidi?ikifutwa wale wafanyakazi waliopo pia wataingia mtaani na tatizo litazidi zaidi!!! think,react
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom