Kazi gani zinapewa kipaumbele ukiomba kupitia TAESA?

Nov 16, 2022
37
23
Habari wana jamvi!

Naomba mwenye ufahamu kuhusu TaESA anieleweshe, mimi nimeomba internship kupitia TAESA toka tarehe 29/11/2022 lakini mpaka saivi bado sijaitwa kwenye interview je nifanye nini au niendelee kusubiria au kuna kozi maalumu ndo zinatakiwa.

Mimi nina kozi ya diploma ya uhasibu. Kama humu kuna mtu anafanyia kazi TAESA anisaidie make maisha ya kitaa yamenichapa.

Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom