Sekondari za kata -sera mbovu za ccm-full ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekondari za kata -sera mbovu za ccm-full ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DENYO, Jan 28, 2011.

 1. D

  DENYO JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimepitia matokeo ya kidato cha nne na kugundua kwamba robo tatu ya wahitimu katika shule za sekondari za kata zilizojengwa kidhaifu na kuwekwa kidhaifu bila walimu bora, vitabu, na maabara wahitimu wake wamepata zero "0"
  hii ni hatari nimeangalia kwa mfano matokeo ya mbezi inn sekondari ambayo ni shule ya kata ina wahitimu 200 wamepata 0, shule ya kata ya yusuph makamba ina wahitimu kibao wamepata 0. Huu ni mfano wa kwanini ccm kimeshakufa wamebaki kutumia jeshi kuongoza nchi, je tutafika kweli? Baada ya kujenga hayo magofu wanayoita shule za kata zinazozika elimu kaburini sasa wamegeukia zahanati -watu wale wale na mipango ile ile -tutegemee nini? Kama sio vifo?
   
 2. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  indicator walishaiona tangu walipoamua mtihani wa form form 2 usiwe na uzito wowote maana hao waliofeli walisukumwa bora liende, maana watoto wa vigogo na wenye nazo wanaendelea bila shida mlalahoi ataendelea kuwa hoi mpaka kaburini hizo ndiye sera ya ccm poleni
   
 3. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Dr. kikwete, mojawapo ya mambo atakayokumbukwa ni pamoja na hili la wanafunzi wengi kufeli kati uongozi waku!

  mengine tunayajua na tutazidi kuyajua tu maanake yako mening sana..........................................................................
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia kwa masikitiko makubwa shule niliyosoma enzi zangu.....sifuri 120 inauma sana
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hali ni mbaya sana kwa shule za vijijini!
   
 6. B

  BILLY2TRY Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha sana!!!
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Point za kumtoa jk madarakani ni hizi.

  -mass failure form 4
  -dowans
  -darkness in the country - tanesco ration
  -inflation
  - increasing poverty %
  -un employment crisis
  -epa
  -tume ya uchaguzi
   
 8. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Increase in corruption, Little or no wages for civil servants, doctors, teachers, nurses etc etc, favoritism in many appointments which led to unqualified professionals.
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inaelekea ulitegemea kitu bora zaidi ya hicho.Haiwezekani kwa shule uchwara kama hizo!Huku kwetu zinaitwa mabanda ya kuku.
   
Loading...