Seiko 5 original japan 200000

Seiko 5 original japan 200000

mshua anayo hyo seiko na aliinunua kabla hata sijazaliwa miaka ya 80 na inapiga mzigo mpk leo
 
mshua anayo hyo seiko na aliinunua kabla hata sijazaliwa miaka ya 80 na inapiga mzigo mpk leo

Hiyo ni saa, sio bora saa, huwezi kuipeleka kwa fundi seiko 5, ni kutumia tu mpaka mwisho, kichwa kilichobuni hiyo saa Mungu akiweke mahali pazuri kwa kweli, maana zilikuwepo miaka na miaka na zitaendelea kuwepo seiko 5.
 
Back
Top Bottom