Tetesi: Seif Shariff Hamad aomba kuachia ukatibu mkuu CUF

Kweli mzee kazee halafu anaumwa bora apumzike tu maana hata mvuto wa kisiasa hana tena
 
Ni wakati wa kutafakari saaana, kwa kuwa tayari CUF imeshateleza anatakiwa kiongozi wa kuifanya iwe ngangari kama kipindi kile cha CUF ilipotamalaki. Sasa haina pesa ndo watu waleee wanasepa wanatuacha tukiwa hooooi.
 
kwikwikwikwikwiiiiii. Nilipe Nisepeeeeeee! Fastaaaaaaa!
 
Cuf iko Zenji, bara ni wamebebwa na mwamvuli wa ukawa.
Huko Zenji kwenyewe hatuna pa kusemea jukwaa lote tushawaachia manyani watawale. Tunaishi kwa kutegemea ruzuku za wabunge wa bunge la Muungano. Kuna sehemu tumebugi saana
 
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
Juma Duni naye mzee pia
 
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
Kwa mahali alipofikia anastahili pongezi, na hakuna namna ya kuendelea na maisha ya siasa ya kidemocrasia kwani haipo Tanzania. labda tuchukue tabia za sudani kusini
 
hana kipya tena, atuachie zenji yetu c akisusa uchaguzi hata kama akiachua ukatibu mkuu cio kitu
 
Utaifakwanza. Eti CCM sinayo ilijifia 25/10/2015 ukipita ofisi za CCM nchi nzima zimepauka shamrashamra hakuna ukiuliza watumishi wanasema ruzuku imepungua na wafanyabiashara hawakichangii si ndio kufa huko au
 
pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…