Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hahahahahaha...mkuu pole sana1 Wote wanayoyahubiri hawawezi kuyatekeleza - Kutojiamini - Maandamano ya Sept anaya pigia chapuo za kiaina ili yasifanyike na hayafanyiki
2.Ni kigeugeu,leo anasema hili kesho anasema lile kuhusu kitu hichohicho - Unafiki leo huyu fisadi kesho msafi
3.Wote wana maamuzi ya kukurupuka- hawasikilizi ushauri - toka bungeni/ susia vikao Sasa analilia suluhu
4. kumsaliti Katibu mkuu wake mkuu,mbachao,Dk Willibrod Slaa kwa msala upitao
5 Ameufanya uongozi mzima wa chadema uwe kama kambare, wote wana masharubu.
Naona ya CUF yamekushinda
Na bado viti mtaviona vya moto