Sehemu za starehe Dodomaa

Sehemu za starehe Dodomaa

Club 7 nilikuwepo jumamosi ..Kule kushoto kwenye makochi pazuri sana hasa lile kochi refu ...Yule DJ Big mweupe hivi anajua sana kupangilia ngoma ...Ila washenzi maji ya jero wanauza elfu mbili *****
 
Hahahaa nililiona hilo kochi jana na watu wanalitumia ipasavyo
 
Back
Top Bottom