Sehemu za mwili zinaelezea maumbile yetu?

Sehemu za mwili zinaelezea maumbile yetu?

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
Kuna watu wanaamini kuwa baadhi ya sehemu za mwili zinaelezea baadhi ya sehemu za mwili yetu.
Kwa mfano mdomo wa mwanamke na upana wa kidole gumba cha mguu na kidole kinachofata eti inaonyesha upana na mwonekano wa sehemu za siri!

Kwa wanaume eti kidole gumba cha mkono mara mbili ni urefu wa uume ukisimama

Hapa kuna ukweli???
 
Write a comment
images%20(1).jpeg
 
Kwa akili Kama hizi ndo maana Magufuli anashinda uchaguzi, Pumbafuuu, foolish
We ndo foolish times ten, kama mada haina mashiko kwako pita kushoto tembea mbali
Na hizo stress zako pelekea mkeo pumbafuuuuuuu mwenyewe
 
Nashawishika kuamini kuhusu lips za mwanamke shape ya yaliyomo na kuhusu kidole gumba cha mwanaume na urefu wa zana yake.
 
Kuna watu wanaamini kuwa baadhi ya sehemu za mwili zinaelezea baadhi ya sehemu za mwili yetu.
Kwa mfano mdomo wa mwanamke na upana wa kidole gumba cha mguu na kidole kinachofata eti inaonyesha upana na mwonekano wa sehemu za siri!

Kwa wanaume eti kidole gumba cha mkono mara mbili ni urefu wa uume ukisimama

Hapa kuna ukweli???
Hayo ni matango pori usile hata kama kasema profesa Kabudi .
 
Kwa hiyo mabadiliko ya kiuongo kimoja yakitokea na kingine kinafuata!?
 
Back
Top Bottom