Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Hakuna sehemu yenye utulivu na starehe Kama sehemu ya massage. Nawashangaa mnao kunywa pombe . Mambo iko kwa massage.
 
Hizo ni dalili mbaya za, uchumi na maisha, ya, watu, shida ni kenge waliopo ikulu,
 
Labda serikali iingilie kati pale ambapo imebainika kuna watoto wa shule au watoto wadogo wamehusishwa kwenye uovu huo!
Vinginevyo huo ni utashi wa mtu binafsi kwenda huko!
 
Kwa taarifa Yako mi pale Martha wellness sinza nishakula wapatao watano na watatu kati yao niliwapelekea moto mtaroni huku mmoja kati ya hao niliowapelekea mtaroni akinihamasisha mwenyewe niingize mtaroni.Shenzi sana
Uliwapa bei gani?
 
2023 ndio unatoa angalizo la hayo madanguro ya mchongo? Unatokea kijiji gani wewe?
 
Hata maofisini, makanisani, misikitini na kwenye kwaya Kuna watu wapo kwa ajili ya kazi na wengine kwa ajili ya ukahaba. Kwanini ukomalie kwenye sehemu za massage tu? Pumbavu!
 
Kwa taarifa Yako mi pale Martha wellness sinza nishakula wapatao watano na watatu kati yao niliwapelekea moto mtaroni huku mmoja kati ya hao niliowapelekea mtaroni akinihamasisha mwenyewe niingize mtaroni.Shenzi sana

Duh… naona unatiket yako ya motoni lbd utubu kbl ya kuwa mwendazake.
.
 
Suluhisho, ni kutoa Elimu hii Bure, Tena Wizara husika ilisimamie hili, lengo Kila mtu ajue namna ya kufanya massage kama Kila mtu anavyojua kupiga mswaki. Hii itasaidia wenza kufanyiana massage wenyewe nakadhalika.

Pia amri itolewe kama ni lazima kufanya massage Nje ya makazi yako basi iwe ni hospital tu!

Na hapo utakuwa umeua uhuni aosemwa kwenye sehemu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…