Sehemu za kutembelea hapa Dar

Wooh asante mkuu
Anaetaka twende aje pm
All bills on me
Ila uwe unajitambua
Usiwe mnywa pombe
Silipii pombe mie
nikuje ila si tutalipana si unajua hamna cha bure, but for company promise you will enjoy
 
Ila hayo maji yamekaa km kuna mamba
 
Napenda nature sana
 
Ushoroba hua napaAdmire sana nikiona picha za wadau, na kumbe iko tu jirani.
Pananihusu hapo weekend moja, very soon.

Asante kwa mwongozo
 
Ushoroba hua napaAdmire sana nikiona picha za wadau, na kumbe iko tu jirani.
Pananihusu hapo weekend moja, very soon.

Asante kwa mwongozo
Pamoja sana. Unaweza kwenda day trip. Itakua chini ya elfu 20 kwa mtu ila mkiwa wengi inakua cheap. Bei zipo hivi:
  • Kiingilio 2500 (kwa mtu),
  • Hela ya guide 20,000 (guide mmoja anahudumia watu 10 so mkienda 10 kila mtu anachangia elfu 2 so better mkiwa crew)
  • Boat elfu 10 (sio lazima)
  • Ukitaka camp tent zipo za 15,000 (maximum watu 4) na zipo kubwa za 40,000 izo ata watu 10.
  • Ukienda na camera kubwa unailipia elfu 5, drone 50,000 ila nadhani hautaenda nazo.
  • Ndani hamna vyakula (ila wameanza kutengeza mahala pa kula) so nunua bites na vinywaji nje.
  • Gari kuingia elfu 5 ila ukipaki nje free.
Washkaji wakarimu sana pale yaani wako peace knm. Utaenjoy sana boss.

Hapa Hiking on top kabisa unakua unaiona Dar kwa chini. Wamejenga ngazi sahivi kupanda rahisi.



Hapa chini camping pembeni mwa bwawa.



PS: Gharama naweza kua nimekosea kidogo sana. Ila zinaenda humo humo.
 
Hivi si mwaka jana zilisambaa videos za simba wakitembea vikindu na inasemekana wakitokea humo forest

Papo safe kweli
 
Mmh uku ndo walishoot MOVIE YA BWAWA LA SHETANI kila la kheri wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…