Sehemu za kutembelea hapa Dar

Umeeleza vizuri, vp usalama wa hizo boat za kwenda na kurudi, nilisikia watu wakipoteza uhai kwenye hizo boat na wengine kunusurika hasa za mbudya, sijui kama kuna maboresho.


Boats za kwenda Mbudya zipo salama ila usalama wa safari unapungua mida ya jioni kwa kuwa mawimbi yanakuwa makubwa kiasi.. so kama unaogopa ile panda shuka ya mawimbi ya bahari basi nenda Mbudya mapema asubuhi, enjoy kisha ugeuze mapema pia.. Yaani usivuke saa 10 jioni uwe usharudi au upo ndani ya boat unarudi mainland.
 
Ushauri wako una hadhi ya nyota tano
 
Kisiwa cha Mbudya, kama wewe sio mtu wa kupenda kuona wanawake waliochafukwa kitabia mpaka mionekano yao na mavazi yao basi kule unatakiwa uende siku za week na sio week. Siku za week kama Jumatatu hadi Jumatano

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Ushoroba is the best kwakweli, kama unahitaji kurelax pazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…