elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Dec 31, 2012 #1 wadau kuna mtu aliwahi kuniambia kuna mtandao wa kitanzania unahusika na kupost kazi za sanaa kama graphics, logos ambapo mtu akipenda kupitia mtandao huo mnaweza fanya biashara au shirikiana. Kuna anayejua huo mtandao anisaidie
wadau kuna mtu aliwahi kuniambia kuna mtandao wa kitanzania unahusika na kupost kazi za sanaa kama graphics, logos ambapo mtu akipenda kupitia mtandao huo mnaweza fanya biashara au shirikiana. Kuna anayejua huo mtandao anisaidie
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Dec 31, 2012 #2 Tanzania bado sijasikia. Youngmaster alikuwa na mtandao wa matangazo. sina hakika kama unafaa kwa kazi hiyo! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tanzania bado sijasikia. Youngmaster alikuwa na mtandao wa matangazo. sina hakika kama unafaa kwa kazi hiyo!