and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,512
- 40,350
Nina muda sijapiga mashine, sasa nataka nikafungie mwaka hii ya Bi. Mkora.Kwanini ukamiee
Aise usiseme yalinikuta yakunikutaMechi za kukamia mbaya sana utapiga kimoja tu halafu isiamke tena
ilikuaje mkuuAise usiseme yalinikuta yakunikuta
[emoji23][emoji23]yani utafikiri ndo day 1 yake...Duh mbona unaandika mengi juu ya hili tukio, ni kama umechanganyikiwa tulia kijana.
Vya haraka haraka navyo...mmmmmh
[emoji23] wakati day1 yake alikutindua wewe[emoji23][emoji23]yani utafikiri ndo day 1 yake...
Stress za Bodi ya Mikopo zinanitosha kwa nn nijiongezee ukimwi?Mkamia maji hayanywi,,,ila kupima ukimwi ni ushamba sana.unapima ili iweje sasa?unapima unataka nini hasa? Mtu huumwi wala nni,sasa unataka kujua kitu gani? Kitendo cha wewe kutoumwa means huna ukimwi
Urudi kutupa mrejesho mkuu...maana na eneo la tukio umeliwekaYaani sipati picha maana nimemkamia nimeshalipia na chumba pale PICNIC VILLA opposite stand ya Mawasiliano/Simu2000.