Sehemu ya kupata experience ya kazi (internship)

Sehemu ya kupata experience ya kazi (internship)

Alemechs

Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
10
Reaction score
11
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.

Naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa sana nikifaham majina ya hizo sehemu pamoja na mkoa husika yaan mkoa wowote ule, iwe kiwandani au hata taasisi yoyote ile hata kama sido ntafurahi pia nikipata mawasiliano ya hizo sehemu hata emails. Naombeni msaada wakuu kwa hilo jambo.
 
TPA
TAMESA
TARURA
HALMASHAURI
TBS
TRC
TANAPA
NK
sehemu ni nyingi saana
 
Back
Top Bottom