Sehemu ya kubadili muito techno h6

Sehemu ya kubadili muito techno h6

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau naomba kufahamu sehemu ya kubadili mlio wa kupokelea kwenye hii simu tajwa hapo juu.
 
Wadau naomba kufahamu sehemu ya kubadili mlio wa kupokelea kwenye hii simu tajwa hapo juu.

Wakikupa jibu unimegee na mmimi maana nina ka techno kangu ka H7 nako ni shida ofisi nzima mlio mmoja
 
Wadau naomba kufahamu sehemu ya kubadili mlio wa kupokelea kwenye hii simu tajwa hapo juu.

Una MENU then SETTINGS halafu unabonya kulia pale ALL halafu AUDIO PROFILES then GENERAL PROFILE
 

Attachments

  • 1432709594507.jpg
    1432709594507.jpg
    26.7 KB · Views: 110
  • 1432709615300.jpg
    1432709615300.jpg
    25.1 KB · Views: 99
Back
Top Bottom