Sehemu ya Kazi inapogeuka sehemu ya stress na migogoro

Ntamfungua macho aache kuzubaa
Watu wanapopata dharura wanatengeneza ugonjwa/ED unaenda kupiga interview, muda mwingine watu huwa wanasingizia hata msiba ili waende kupiga interview.

Sasa huyo Boss atakufuata hadi nyumbani kwako na bakora akulazimishe uende kazini wakati unaumwa?Hata kama huna ED ukatega siku 2 siku ya 3 ukaenda kazini huyo Boss atakufanya nini kwa mfano?

Maana kisheria unatakiwa ukitega kazini nafikiri kwa siku 4 mfululizo ndio wanaweza kukufukuza kazi,chini ya hapo hawana uwezo wa kukufukuza mwambie aache uoga wa enzi za utumwa/ukoloni.
 
Hilo gumu, linahitaji maamuzi magumu.

Kama vipi ajipange halafu aache kazi, ndio atafute nyingine. Hizo fitna nimeziona sana ndio maana sishangai. Mtu mwingine namfahamu jamaa walienda kumchomea mpaka HQ ya multinational Paris France huko. Bahati nzuri alikuwa vizuri sana wakapuuzia fitna.
 
Yes uko sahihi mkuu.
Kumfanya Bosi kama mungu au kuifanya kampuni bila wao hautaishi ni ujinga wa hali ya juu.
Tena ni ujinga mara mbili kwa mtu aliyesoma na ana vyeti halafu maisha yako yaamuliwe na mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…