Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanapopata dharura wanatengeneza ugonjwa/ED unaenda kupiga interview, muda mwingine watu huwa wanasingizia hata msiba ili waende kupiga interview.Ntamfungua macho aache kuzubaa
Hilo gumu, linahitaji maamuzi magumu.Pia kampuni ambayo yupo inalipa vizuri sana kwa nafasi za juu ila level alippo jamaa malipo ni ya kawaida, usaili mwingi humshangaa why anataka asepe hiyo sehemu wakati kuna watu wanapahitaji, hupelekea kumchunguza labda kaharibu, hata wakipeleleza kupitia watu wengine hufikisha taarifa kwa boss wake kuwa kijana wako naona anataka akukimbie, hapo boss nae hutumia njia zake kuhakikisha jamaa hatoboi
Yeye nae ni muoga Wa maisha yani ww unaomba sehemu na unajua unauwezo wa kuchukuliwa kwa %kumbwa afu unamnganda huyo ambae hakuongezei mshahara, mfuate boss mwambie mm kuanzia siku fulan mm sitoendelea na offc hii sababu hizi na hiz nahitaji kukua na nimeshakuwa na nyiny mda mrefu ila wakati wa mabadiliko kwangu ni Sasa km siyapati hapa acha nikayatafute pengine