yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,533
- 3,175
Pamoja sana mkali.Gates of hell katika mji wa Darvaza -Turkmenstan huko RussiaView attachment 1468853View attachment 1468854View attachment 1468855
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Umetisha sna mkuu pia umezielezea kwa ufasahaPamoja sana mkali.
Dunia ina maajabu mengi sana hii. Na huko Hawaii inasemekana kuna volcano ambayo kila siku inatiririsha magma. Watalii huwa wanaiona kutokea angani kwa kutumia Helkopita
Dunia ina maajabu mengi sana hii. Na huko Hawaii inasemekana kuna volcano ambayo kila siku inatiririsha magma. Watalii huwa wanaiona kutokea angani kwa kutumia Helkopita
Ina ukubwa gani,na ina miaka mingapi inawaka mpaka sasa?Gates of hell katika mji wa Darvaza -Turkmenstan huko RussiaView attachment 1468853View attachment 1468854View attachment 1468855
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Usiogope Siku moja utakwenda