The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,182
Nilipataga msala kwenye ajira yangu ya awali nikamwambia aliekua mama watoto wangu bwana,si akaenda kuwambia mama yake,weekend nastukia ugeni home.Hakika,mi nimejifunza kama jambo ni Siri hata mama simwambii....hakuna Siri ya watu wawili hakika
nawakilisha jamii wenye mlengo huo mkuu sio mimi.Umeanza kudanganya tena kijana,
kuna wale wazee wanakuaga kama father-figure...Sio wote wana hao mababa ambao wanaweza kuongea nao au kufunguka kwao. Wanaume wa namna hiyo wafanyaje sasa?
🤣🤣🤣Sisi tuna hatari sanaNilipataga msala kwenye ajira yangu ya awali nikamwambia aliekua mama watoto wangu bwana,si akaenda kuwambia mama yake,weekend nastukia ugeni home.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waongee wapi kujitia wakakamavu kumbe sponji tu
Hakuna asiye na changamoto, viongozi wa kidini wana mafundisho mengi, mifano mingi kutoka kwenye vitabu vya dini, hadithi nyingi za mitume.Viongozi wa dini, usikute ba wenyewe wana changamoto! 😄 just kidding..
Ha ha ha ha dadekiMtego huu wanetu
Hujakutana na zege,lenyewe kila kitu sawa tu.Ukiliringia linakwambua kama we mzuri NAMI handsome.YAANI ANAECHUKULIA KILA KITU KAWAIDA.Waongee wapi kujitia wakakamavu kumbe sponji tu
kweli mzee min-maiUkijiepusha na kitu kinaitwa NDOA msongo wa mawazo labda ujitakie tu.
Halafu hiyo taswira ikaja kwangu anafunuafunua mapaja yake morororooo na kashavu kanachunguliachungulia upenuni pa pichu.Narudiarudia kusoma naimagine naona tunaongea face-to-face unauliza kwa upoleee haha dah manipulative tactic noma sana.
Kumwambia mamaako Siri ni kama kuficha tangazo kwenye spika ya MSIKITINI.Hakika,mi nimejifunza kama jambo ni Siri hata mama simwambii....hakuna Siri ya watu wawili hakika
Lazima nikuulize kwa sauti ya upole mpwa, sisi mabinti wa zamani ndiyo tulifundishwa hivyo 😊Narudiarudia kusoma naimagine naona tunaongea face-to-face unauliza kwa upoleee haha dah manipulative tactic noma sana.
Hata kama ni single mama, bado ana mwanaume aliyezaa naye. Hayo anayotaka kuyajua, yapoje kwa huyo aliyezaa naye..!!??Mpe soln mkuu ..je kama ni single mama haishi na mume
Ukakamavu huwa naona ni kwa ajili ya kujionyesha nje, ndani kwa ndani wengi ni walaini na wanahitaji sana kusikilizwa, kujaliwa na kuonyeshwa upendo ili wawe sawa.Waongee wapi kujitia wakakamavu kumbe sponji tu
Ukiwaeleza viongozi wa Dini jiandae matatizo yako kuja kusemwa madhabahuni kama mfano... Wale ndiyo Sina Imani nao kabisa..Sijafikia hatua hiyo, ila kuna wana mna share vitu vingi si mbaya kuongea nae, na kama vipi muhusishe mdingi wako, ama viongozi wa kidini.
Yeah sureUkakamavu huwa naona ni kwa ajili ya kujionyesha nje, ndani kwa ndani wengi ni walaini na wanahitaji sana kusikilizwa, kujaliwa na kuonyeshwa upendo ili wawe sawa.