Sehemu salama wanandoa kuachana.

Sehemu salama wanandoa kuachana.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
Hii ndio sehemu maalum wanandoa wanapoweza achana bila kuwa na kinyongo baina yao!. kazi kwenu wanandoa mnaotaka achana kwenda tembelea!.
View attachment 652496
 
img_20171213_172045_917-jpg.652496
 
the same uislam unavyotaka
mke ukimpa taraka 3 haondoki kwao hakae hapohapo umuhudunie kama ilivyo kuwa zamani kwa miezi 3 kasolo
"no sex"
na ikitokea mkasex baasi taraka imejifuta ushamrudia mke wako tena
 
Back
Top Bottom