kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,499
We jamaa umenichekesha ha ha ha sasa ulitaka ukatembee mbugani kwa miguu lazima ukodi gari au uwe na lakwako mikumi kuna Camp site nzuri sana watu wanaopenda safari wananielewaMikumi kuna nini cha kuvutia?
2.gharama zake zikoje hotels?
3.je kutembelea mbuga kwa mfano inagharimu kiasi gani kwasababu niliwahi kutembelea maeneo ya mikumi nilipata taabu sana nikaambiwa labda nikodi gari langu wao hawana magari,but nikabembeleza na kulazimisha nikatumia gari lao,wao waliniambia labda niende mikumi mjini kuna magari ya kukodisha kule...