Sehemu nzuri za kuzuru mwezi ujao kwa budget ya chini

Njoo kilwa kuna best hotels au morogoro kule UDZUNGWA kuna hotels nzuri na kuangalia mbega unapanda mabasi ya kwenda ifakara kumetulia sana milio ya ndege tu


mayb kilwa !udzungwa nilishaenda kuzuri misitu tupu ! ngj nitamualika mtembezi maarufu uttoh2002 anipe direction !yaan huu mwez dec lazima nikatulie sehem
 
ilikua tukae from 24-26th! tuliassume kama laki 2@but ikasemekana huwa inakuwa juu sana na vyumba hakuna miez hyo
Still mbona unapata, ulitakaa ukae wapi nugwi, stone town, Paje, au michamvi au wapi... Nipo zanzibar naweza kukusaidia kupata taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom