Q Quod Nocet Saepe Docet JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,944 Reaction score 17,279 Feb 20, 2025 #21 jlo father said: me nahtaji sehemu yeyote isiokuwa na uswahili mkuu naomb msaada wako Click to expand... Nafikiri wenyeji wa huko watakupatia taarifa nzuri zaidi kulingana na hitaji lako. Subiri watajitokeza na kukupatia ushauri unaohitaji.
jlo father said: me nahtaji sehemu yeyote isiokuwa na uswahili mkuu naomb msaada wako Click to expand... Nafikiri wenyeji wa huko watakupatia taarifa nzuri zaidi kulingana na hitaji lako. Subiri watajitokeza na kukupatia ushauri unaohitaji.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 Feb 20, 2025 #22 Kiegea, mkundi, kuna viwanja vizuri bei poa ila mvua za mwaka jana, zimeonyesha athari kubwa ya mafuriko maeneo hayo
Kiegea, mkundi, kuna viwanja vizuri bei poa ila mvua za mwaka jana, zimeonyesha athari kubwa ya mafuriko maeneo hayo
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,251 Reaction score 20,486 Feb 20, 2025 #23 jlo father said: Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati Click to expand... Cc Faana @myangu
jlo father said: Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati Click to expand... Cc Faana @myangu
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,932 Reaction score 2,364 Feb 20, 2025 #24 Forest
U Umsumbalembe JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 929 Reaction score 853 Feb 20, 2025 #25 mzabzab said: Hili nipe details maana nasaka kiwanja hayo maeneo. Hiyo barabara lazima itapigwa lami tuu. Naomba details pm plz. Click to expand... Details zao wasiliana na tawi lolote la Tanzania Commercial Bank (TCB) lililokaribu nawe utapata maelezo zaidi kwani ni wakala wa UTT katika mauzo ya viwanja hivyo.
mzabzab said: Hili nipe details maana nasaka kiwanja hayo maeneo. Hiyo barabara lazima itapigwa lami tuu. Naomba details pm plz. Click to expand... Details zao wasiliana na tawi lolote la Tanzania Commercial Bank (TCB) lililokaribu nawe utapata maelezo zaidi kwani ni wakala wa UTT katika mauzo ya viwanja hivyo.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,882 Reaction score 136,798 Feb 20, 2025 #26 finyango said: Forest Click to expand... Huko kimyaa Ova
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,932 Reaction score 2,364 Feb 20, 2025 #27 mrangi said: Huko kimyaa Ova Click to expand... Ndio pazuri,Pametulia sana sana
S shalomsalem New Member Joined Mar 15, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Mar 16, 2025 #28 Chipukizi said: Bigwa Click to expand... Bigwa imejaa viwanja bei Labda Bigwa Mwisho Misongenii yenyewe Uwe mtu wa Ibada 😃
Chipukizi said: Bigwa Click to expand... Bigwa imejaa viwanja bei Labda Bigwa Mwisho Misongenii yenyewe Uwe mtu wa Ibada 😃