NENDA MAENEO YA hapo mnala wa voda kuna kila kitu "amaizing super market", "papiron" , "bakurutu" ray "misanga night club", pamechangamuka hapo ukishindwa neda huko "Nera pub" papo poa sana sema shy kama sio mwenyeji unaweza ukasema sehemu za bata hakuna mpaka upate mwenyeji kidogo kuna sehemu nyingine huko lubaga..