Sehemu muafaka kwa shughuli.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wadau naomba kushee kwa pamoja,eti ni sehemu ipi ni nzuri na muafaka kwa ajili ya mechi isiyokuwa na jezi,je ni kwenye kochi,chini,juu ya meza,juu ya sinki,kitandani,bafuni,chooni,kwenye stuli.Tufahamishane wakuu ili tuongeze ujuzi.
 
Hakuna kama kwenye bahari, mnaelea elea kama watu wamekosa balance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…