Sehemu gani ya mwili wako.....

Sehemu gani ya mwili wako.....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
NI SEHEMU GANI YA MWILI WAKO UNAITHAMINI KULIKO ZOTE ?
A-Makalio
B-Manyonyo
C-Miguu
D-Mgongo
E-...........
 
Hili swali limelengwa kwa akina Dada nadhani....subiri wanakuja.
 
Weeee Boflo mchokozi wewe....laikini kila kiungo ni cha kuthamini banaa!
ila macho! you only get one set once! you loose them you can never see the "beauties" of this world again and enjoy!!!
 
Last edited by a moderator:
mi nathamini sana mashine a.k.a pump
 
Zote ulizozitaja na the rest of my body!
 
Nyote vina thamani othewise sio kitu ambacho kimewekwa bila manufaa
 
Dahhh

Nathamini mwili wangu wote.
Nannashukuru sana kwa jinsi nilivyo.
 
Back
Top Bottom