Sehemu ambazo mashujaa wanapunga upepo bila usumbufu....

Sehemu ambazo mashujaa wanapunga upepo bila usumbufu....

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,935
1411381964953.jpg
Picha kwa hisani ya Edo Kumwembe.
 
Hahaha. Ninaogopa heights balaa. Hapo nadhani roho itakuwa imeshafika chini bado mwili upo juu.
 
Irente View napo kama huna roho kakamavu haja yaweza achana na mwili
Aisee Pako poa sana, niliendaga mwaka 2004 ila Naona kama hawaitangazi hii view point sky view vyote vya lushoto.ni eneo zuri sana kwa utalii hata wa ndani.
 
Back
Top Bottom