Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,850
- Thread starter
-
- #61
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Hizi ni Hadithi ndani ya Biblia kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake sio mambo ya Dini ndio maana nikaweka hapa kwenye jukwaa la Mapenzi ingelikuwa ipo kule kwenye jukwaaHaleluyaaaaaaaa!
Hadi Ibilisi anatangaza Injili, shukrani kwako Yesu.
Hii ndio namna tunayofundisha watoto wetu kwa picha na upendo badala ya kuwatandika bakora za makalio tukiwalazimisha kukariri maandishi ya kiarabu ambayo hawaelewi.
Tumsifu Yesu Kristo!
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Hizi ni Hadithi ndani ya Biblia kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake sio mambo ya Dini ndio maana nikaweka hapa kwenye jukwaa la Mapenzi ingelikuwa ipo kule kwenye jukwaa
la mambo ya dini ninafikiri kungelikuwepo na maswali mengi na majibu yasingeweza kupatikana acha ujinga wako wa
kusema kuwa Iblisi anatangaza injili Iblisi ni wewe mwenyewe ndio unakuwa ni wa kwanza kisha ndio Iblisi anakuingia ndani ya moyo wako hizi ni hadithi tu zinaweza kuwa ni za kweli au za kutunga tu acha ulokole wako huo.