Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,082
Ukifungwa majela ya Ughaibuni ukitoka unatoka mnene kiasi kama unapotezewa wakati wako hakuna adhabu huku kila mtu analala kwenye kitanda chake chakula kizuri unafanya kazi ndani ya jela unalipwa mishahara mzuri ukitoka jela unatoka na pesa hakuna cha kutesana jela ya ulaya huwezi kufananisha na jela za Africa. Jela za Africa ni mateso na ukitoka jela za Africa unakuwa ni mgonjwa nahata waweza kufa ndani ya jela huko africa matatizo ukiwa nje matatizo seuze uwe jela?Mkuu ungeleta hoja ya Jela moja huko Majuuu wala nisingesema chochote, lakini hoja hapa ni Gereza la Segerea Mkuu, hapo hakuna kujifunza chochote zaidi ya kuwa mende tu.