Hizi ndio Jela za Kibongo? Ahhhhh si kuuwana huko? si watapata maradhi hao? Si akijamba mmoja si harufu itakuwa ni mbaya sana? Haya tutaendelea kweli? Mbuzi Mzee?
Inaitwa nchongoma!!kazi ipo hapo kama unaumwa kuhara!!hatari sana aisee duu!pia DRC nasikia kuna hali kama hii huko magerezani!!hawa watakuwa mahabusu
Kwani maendeleo yanapatikana jela?Hizi ndio Jela za Kibongo? Ahhhhh si kuuwana huko? si watapata maradhi hao? Si akijamba mmoja si harufu itakuwa ni mbaya sana? Haya tutaendelea kweli? Mbuzi Mzee?
Waambie na hao wahalifu wenzio na wao waache kwanza mpaka napo zitakapojengwa mpya na kubwa za kukutosha.Kama hali ndio hii basi ni vema polisi wakasitisha zoezi la kukamata wahalifu mpaka zitakapojengwa mahabusu nyingine,huu ni uuaji wa watuhumuwa....
Waambie na hao wahalifu wenzio na wao waache kwanza mpaka napo zitakapojengwa mpya na kubwa za kukutosha.
Eh nimekuwa mhalifu tena..??
wewe hujuwi kuwa jela za ulaya Watu wakitoka ndani ya jela wanakuwa na pesa ? kuna kazi unafanya na unalipwa pesa nzuri kuliko ulivyokuwa nje upo huru jela za ulaya kuna shule ndani unajifunza mambo mengi tu hata ukitaka kujifunza computer waweza jela za kiafrika ni mateso ukitoka jela uu mgonjwa wa TB au ukimwi kutakuwa na maendeleo kweli katika nchi yetu kweli? Mkuu grafani11 Tembea ujionee wewe mwenyewe usingoje kuambia.Kwani maendeleo yanapatikana jela?
Hivi hawa watu wapo hai kweli, isije kuwa lile kasheshe lililotekea Haiti, na hao wote ni maiti.
Hivi hawa watu wapo hai kweli, isije kuwa lile kasheshe lililotekea Haiti, na hao wote ni maiti.
Mkuu ungeleta hoja ya Jela moja huko Majuuu wala nisingesema chochote, lakini hoja hapa ni Gereza la Segerea Mkuu, hapo hakuna kujifunza chochote zaidi ya kuwa mende tu.wewe hujuwi kuwa jela za ulaya Watu wakitoka ndani ya jela wanakuwa na pesa ? kuna kazi unafanya na unalipwa pesa nzuri kuliko ulivyokuwa nje upo huru jela za ulaya kuna shule ndani unajifunza mambo mengi tu hata ukitaka kujifunza computer waweza jela za kiafrika ni mateso ukitoka jela uu mgonjwa wa TB au ukimwi kutakuwa na maendeleo kweli katika nchi yetu kweli? Mkuu grafani11 Tembea ujionee wewe mwenyewe usingoje kuambia.