deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
habari wanajamvi.. nimekaa nikajiuliza maswali kadhaa kuhusu watsapp na viber security zake ziko vp. hapa namaanisha kampuni zetu za simu zinawezaje kukeep record ya mawasiliano yanayofanyika katika hizi application mbili? sababu kampuni za simu ukitumia normal way wanakua na record zote za mawasiliano sasa vp ukitumia hz application seva zao znaretrv vp record kutoka kwenye hz application?